Sunday, 30 July 2017

MANENO KUNTU KUTOKA KWA MCHUNGAJI KULOLA

Julai 23 hadi jana 30,2017 ulifanyika Mkutano wa Injili ulioandaliwa na Makanisa ya EAGT Kanda ya Kusini Jijini Mwanza, uliofanyika uwanja wa shule ya Msingi Buhongwa.

Mhubiri aliyealikwa kuhudumu kwenye mkutano huo alikuwa Mchungaji wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo nyuma ya Soko Kuu la Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza, Dkt.Daniel Moses Kulola (pichani juu).

Katika Mahubiri yake, Dkt.Kulola alikuwa akisisitiza zaidi jumbe zenye lengo la kubadili fikra za wanadamu na siyo kuwapotosha kama ambavyo baadhi ya wahubiri wamekuwa wakiwahadaa waumini wao.  
BONYEZA HAPO CHINI KUSIKILIZA MANENO KUNTU YA MCHUNGAJI KULOLA Mchungaji wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya Dkt.Daniel Moses Kulola akihubiri kwenye mkutano wa Injili ulioandaliwa na Makanisa ya EAGT Kanda ya Kusini Jijini Mwanza. Mchungaji Mercy Kulola (Mama Mchungaji Daniel Kulola) akiwa kwenye mkutano huo
Viongozi mbalimbali wa dini wakihudumu kwenye mkutano huo ikiwemo kuombea wahitaji Viongozi na wageni mbalimbali waliohudhuria mkutano huo Watumishi mbalimbali wa Mungu Baadhi ya watumishi wa Mungu walioshiriki mkutano huo Baadhi ya watumishi wa Mungu walioshiriki mkutano huo Baadhi ya watumishi wa Mungu walioshiriki mkutano huo Mwimbaji wa nyimbo za injili akihudumu kwenye mkutano huo Baadhi ya waliohudhuria mkutano huo ambao kwaya mbalimbali ikwemo Havillah Gospel Singers kutoka EAGT Lumala Mpya walihudumu. Bonyeza HAPA kwa habari zaidi.
 

Sample text

Welcome note

Dear our Brethren in Jesus Welcome to our website. We are so glad that you have chosen to visit our site. On this site you will be able to know us, our values and challenges as a church family, activities and our weekly and even Yearly program and what the Lord is doing through us here in EAGT Lumala mpya church , Mwanza, Tanzania. Our prayer is that as you browse through this website, the Lord will speak to you so that you may partner with us in prayer and any other way that He may lead you to. Let us join hands as we seek to fulfill the mission and vision that God has given us. Let us redeem the time, before the Lord of times returns. Again welcome. Yours in God’s service, Pastor Dr. Daniel Moses kulola.

Sample Text

 
Blogger Templates