Daktari na Mchungaji Daniel Moses Kulola akiwa katika kituo cha kurusha
matangazo cha RFA (radio free Afrika) katika kipindi kipya cha dini
ambacho kitaanza kurushwa jumapili hii kuanzia saa kumi na moja alfajiri
hadi saa kumi na mbili asubuhi. Na mch. Daniel M. Kulola atahubiri
katika kipindi hiki. TUNE 88.8 FM kwa wakazi wa Mwanza na mikoa yote
mnayo ikamata radio free africa fungua na utabarikiwa na neon la Mungu
pia na uimbaji