
Mch na mhubiri wa kimataifa Dr.Daniel Moses Kulola aondoka mwanza leo kuelekea marekani, kafikia hotel ya kimataifa ya JB BELMONTE ya jijini Dar es salaam akijitayarisha na safari yake ya kesho mchana saa saba kuelekea Doha alafu Washington DC kuubiri injili..Yeye akiwa kama kijana pekee aliyeachiwa kijiti na baba yake mzazi,the late Bishop Moses Kulola kuisambaza habari iliyo ya kweli kwa watu wote na wapate kupona

Hoteli
ya JB BELMONTE alipofikia jijini Dar es salaam kwajili ya kujitayarisha kuelekea
Marekani mnamo siku ya kesho

Chumba
alichofikia Mchungaji Daniel Kulola tayari kwa kwenda Marekani kwa ajili ya Huduma



