Sunday, 30 July 2017

MAMIA WAFURAHIA NDOA ZA PAMOJA EAGT LUMALA MPYA MWANZA

Jumapili ya wiki mbili zilizopita (Julai 16,2017) zilifungwa ndoa tisa kwa wakati mmoja katika kanisa la EAGT Lumala Mpya, lililopo nyuma ya Soko Kuu la Sabasaba Jijini Mwanza na kuvutia mamia ya watu wakiwemo waumini wa kanisa hilo. 

Mchungaji wa kanisa hilo, Dkt.Daniel Moses Kulola alisema si vyema waumini waliookoka wakiwa kwenye ndoa bubu kuendelea kuishi ndani ya ndoa hizo bila kufunga ndoa takatifu na hivyo kuwapa fursa ya kipekee wale wote wenye ndoa bubu kufunga ndoa takatifu. 

Shughuli ilikuwa ya kuvutia ambapo baada ya masaa kadhaa video ya mmoja wa waliofunga ndoa siku hiyo ilianza kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ikimuonesha akielezea namna alivyofurahi kufunga ndoa. Wanandoa Victor Mwampiki na mkewe Shaniah Nyerii. Wengine na best man na best lady wao. Bwana harusi Amos Severine na mkewe Esther Phabian wakisaini cheti cha ndoa Mchungaji wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya, Dkt.Daniel Moses kulola pamoja na Mchungaji Mercy Kulola, wakikata keki kwenye ufunguzi wa hafla ya harusi hizo.
Bwana harusi Paul Kumaja na mkewe Emaculata Martine wakilishana keki Bwana harusi Yohana Kiroche na mkewe Neema Njobo
Best Man na Best Lady wakilishana keki Bwana harusi Joseph Kiparasha na mkewe Winifrida Kanizio Bwana harusi Enock Heneriko na mkewe Aderine Philipo Bwana harusi Victor Kiparata na mkewe Shaniah Nyerii wakilishana keki Bwana harusi Juma Ogutu na mkewe Jesca Keboye wakilishana keki Best Man na Best Lady Best Man na Best Lady Best Man na Best Lady Best Man na Best Lady wakilishana keki Joram Samweli akifungua shampeni Wasaa wa kuombea maharusi
TAZAMA VIDEO HAPO CHINI

Bonyeza HAPA kusoma zaidi
     
 

Sample text

Welcome note

Dear our Brethren in Jesus Welcome to our website. We are so glad that you have chosen to visit our site. On this site you will be able to know us, our values and challenges as a church family, activities and our weekly and even Yearly program and what the Lord is doing through us here in EAGT Lumala mpya church , Mwanza, Tanzania. Our prayer is that as you browse through this website, the Lord will speak to you so that you may partner with us in prayer and any other way that He may lead you to. Let us join hands as we seek to fulfill the mission and vision that God has given us. Let us redeem the time, before the Lord of times returns. Again welcome. Yours in God’s service, Pastor Dr. Daniel Moses kulola.

Sample Text

 
Blogger Templates