Tuesday, 29 July 2014

NZEGA CRUSADE

MKUTANO WA AJABU NA MAAJABU

Kwa wiki kadhaa jarida letu limekuwa linawaomba maombi wadau wote kuombea mkutano wa injili uambao ungelianza tarehe 22/7 hadi 27/7 maombi yenu mungu alijibu..
Mkutano ulikuwa ni mkubwa sana kwa maana ya mahudhurio tangu mwanzo hadi mwisho dalili zilionekana ile siku ya kwanza kwani idadi ilikuwa ya ajabu sana
frm left to right: Mrs Shani, Joram - photographer,  Dr. Kulola, Mrs Kulola, Happy shamawele Singer, Agnes- Singer, Ngese-singer, Masanja- singer and comedian, enos- singer, sarah - singer and Bishop dr. shani


Dr. Kulola leading people to the Lord












my team

my team



my wife



mkutano ukiendelea kukolezwa na waimbaji maarufu kama Masanja mkandamizaji, Happy Shamawele na Agnes Akrama bila kumsahau mwimbaji Sarah Emanuel ambao waliunda kombinesheni kali ya kumpiga ibilisi shetani. 

Mwimbaji mwenyeji alikuwa ni Seiri Andrew. Pia kulikuwa na kwaya kama Omic, Unabii na zingine kama Nzega choir na TAG choir

Muhubiri huyu wa kimataifa aliyepata kibali kwa Mungu na wanadamu aliendelea kuporomosha injili  ya Yesu kwa usahihi kwa watu pia amekuwa akitoa baadhi ya shuhuda za maisha ya mzee Kulola kama kidokezo.

Watu wengi wakimiminika na kukutana na injili wengi ilipelekea kufanya maamuzi ya nguvu kuokoka na kuponywa katika shuhuda zilizo tolewa watu waliofunguliwa ni pamoja 
na wale wenye mapepo mengi sana sana.....

miujiza mingi sana na wengi kuokoka.... Nzega kwa Yesu..





 

Sample text

Welcome note

Dear our Brethren in Jesus Welcome to our website. We are so glad that you have chosen to visit our site. On this site you will be able to know us, our values and challenges as a church family, activities and our weekly and even Yearly program and what the Lord is doing through us here in EAGT Lumala mpya church , Mwanza, Tanzania. Our prayer is that as you browse through this website, the Lord will speak to you so that you may partner with us in prayer and any other way that He may lead you to. Let us join hands as we seek to fulfill the mission and vision that God has given us. Let us redeem the time, before the Lord of times returns. Again welcome. Yours in God’s service, Pastor Dr. Daniel Moses kulola.

Sample Text

 
Blogger Templates