MKUTANO MKUBWA WA INJILI KAHAMA
mhubiri wa injili wa kimataifa Dr. Daniel Moses Kulola ambaye wiki mbili zilizo pita alikuwa na huduma kubwa katika kanisa la Mlima wa Moto chini ya mch Mhe. Dr. Getrude Rwakatare sasa anaelekea KAHAMA, Mkutano mkubwa utaanza 7/4/2014 hadi 13/4/2014 kila siku jioni.
taarifa zilizotufikia wana Blog hii ni kwamba mhubiri huyu anaondoka na timu kubwa ikiwa ni pamoja na wapiga picha wake kwa taarifa na uchukuaji wa matukio yote ikiwa ni pamoja na DVD za mkutano wote ndg Joram Samuel na Peter Mlekwa
Wengine wataoambata naye ni pamoja mke wake mpenzi Mercy, mama Yake mzazi mama Askofu Moses kulola ambaye baada ya baba yake kututoka sasa anaambata na mwanae kuhakikisha kazi iliyoanzishwa inaendelea vema na kwa kiwango cha juu sana, wengine ni Abel Kulola, Susan Kulola ni timu ya wapiganaji na huku wanainjili kote Tanzania, Afrika na duniani kote wanaingia kwenye magoti katika ulimwengu wa Roho kuombea mkutano huu mkubwa.
Bila kusahau kanisa la EAGT Lumala mpya ambalo mch Dr. Kulola analichunga likiwa nyuma yake kwa maombi.
kabla ya kuachana na mhubiri huyu, mhubiri akiongea na wana blog alisisitiza wanainjili kote waungane naye kumsaidia na pia kumwombea.
Kwa mujibu wa taarifa sahihi mkutano huo utahubiriwa katika viwanja vya EAGT Yerusalem na mch Felix Gwamiye ndiye mwenyeji akisaidiana na waimbaji kem kem.
Mhubiri huyu ambaye huwa anatumiwa na Mungu kwa aina ya kipekee amekuwa ni mwenye kukusanya UMATI mkubwa sana sana wa watu kokote alikokwenda, namna hii inawafanya hata wana injili kokote watiwe moyo wasiwe na hofu wala wasi wasi kwamba ile kazi aliyoianzisha baba yake marehemu askofu Moses kulola haitakufa bali ina mwenyewe na mwenyewe ni Dr. DANIEL MOSES KULOLA
**********************************************************************************
Leo 9/3/2014 Kampuni ya Matokeo Publishers and Printers imezindua kitabu cha askofu Dr. Moses Kulola katika viwanja vya EAGT Temeke.
zinduzi huo ulishuhudiwa na umati mkubwa wa watu ambao walikuwa na kiu ya kukiona na kisha kukinunua kitabu hicho.
Mgeni Rasmi alikuwa Ndg Kaduma
Habari zaidi zitafuata.
Kila kitabu kitakuwa kinauzwa shs 10,000= tu kwa kuunga mkono kazi ya Mungu pia kama utataka utoe order ya vitabu vingi vya kuuza tafadhari piga simu +255 767 749040 kwa maelekezo zaidi
Kitabu kinapata baraka ya kuingia sokoni kutoka kwa maaskofu
Mgeni Rasmi Mhe. Kaduma anakifungua rasmi
Mama na wanawe, kutoka kushoto ni mama mch Daniel Kulola, Suzie Kulola na Mary Gahutu
moja ya wahudumu wanajadiliana namna ya kuboresha tukio
Heka heka za mauzo
familia ya Kulola haikuwa nyuma katika ununuzi waliamua kitu cha kipekee ya kwamba kila mtu awe na kopi moja, toka kulia, Pastor Daniel, Abel, Goodluck, Mama Goodluck, Mrs Daniel
kutoka kushoto ni, Sarah, Mama Mahava, Mary Gahutu, suzie, Mercy Kulola, Mama Noah, Goodluck na Abel
Bite Kulola kushoto
kulia kabisa ni Gwamwanza
DR. DANIEL KULOLA PREACHING AT MLIMA WA MOTO MIKOCHENI B DAR ES SALAAM 16/3 HADI 23/3 Mhubiri wa kimataifa Dr. Daniel Moses Kulola kutoka mwanza yuko Dar kwa huduma kubwa katika kanisa la Mch kiongozi Dr mhe. Getrude Rwakatare... mkutano huo ukianza 16/3 kwa shamra shamra nyingi sana mhubiri huyu wa kimataifa aliingia kwa msafara mkubwa pia akiambatana na mkewe Mercy pia mama yake mzazi mama askofu Moses kulola na kundi kubwa la jamaa. imekuwa ni mara chache kuwapata wahubiri kama hawa lakini katika kanisa hili imeonekana pia kuna ujamaa kati ya mhubiri na mch kiongozi, ni mtu na dada yake. Akifungua mkutano mch kiongozi aliuelezea umati mkubwa sana ulio hudhuria kuwa huu ni mwanzo wa mengi mazuri yanayokuja......
Mama askofu Moses kulola akitoa nasaha zake pamoja na mwenyeji wake mch na Dr Lwakatare kwa pembeni
Mhubiri anatafakari kabla ya neno siku ya pili 17/3
Baada ya mahubiri ndani ya ofisi ya mch mwenyeji
wakati wa injili siku ya 2 jumatatu
mtoto na mama
umati mkubwa
ofisini mwa mch mwenyeji
mwenyeji akitoa nasaha kabla ya mhubiri
atawezaje kutulia ikiwa Bwana kampa mzigo
more relaxed
umati mkubwa wanapokea injili ya Yesu

MWINJILIST, DR. DANIEL KULOLA AKIHUBIRI MAELFU YA WENYE KIU YA NENO |
KULOLA NDIYE ATAHUBIRI |
Leo 9/3/2014 Kampuni ya Matokeo Publishers and Printers imezindua kitabu cha askofu Dr. Moses Kulola katika viwanja vya EAGT Temeke.
zinduzi huo ulishuhudiwa na umati mkubwa wa watu ambao walikuwa na kiu ya kukiona na kisha kukinunua kitabu hicho.
Mgeni Rasmi alikuwa Ndg Kaduma
Habari zaidi zitafuata.
Kila kitabu kitakuwa kinauzwa shs 10,000= tu kwa kuunga mkono kazi ya Mungu pia kama utataka utoe order ya vitabu vingi vya kuuza tafadhari piga simu +255 767 749040 kwa maelekezo zaidi
Kitabu kinapata baraka ya kuingia sokoni kutoka kwa maaskofu
Mgeni Rasmi Mhe. Kaduma anakifungua rasmi
Mama na wanawe, kutoka kushoto ni mama mch Daniel Kulola, Suzie Kulola na Mary Gahutu
moja ya wahudumu wanajadiliana namna ya kuboresha tukio
familia ya Kulola haikuwa nyuma katika ununuzi waliamua kitu cha kipekee ya kwamba kila mtu awe na kopi moja, toka kulia, Pastor Daniel, Abel, Goodluck, Mama Goodluck, Mrs Daniel
kutoka kushoto ni, Sarah, Mama Mahava, Mary Gahutu, suzie, Mercy Kulola, Mama Noah, Goodluck na Abel
Bite Kulola kushoto
kulia kabisa ni Gwamwanza
Hapa mama askofu Kulola akitoa shukurani kwa wale wote walio andaa tafrija kama ile na pia waandishi wa kitabu Matokeo Publishers ya Dar