UZINDUZI WA KITABU CHA MAISHA NA HUDUMA YA ASKOFU DR. MOSES KULOLA
Kutakuwa na uzinduzi wa kitabu kilichoandikwa kwa utaalam wa hali ya juu kwa mkataba katika ya mch Dr. Daniel Kulola na kampuni ya Matokeo Publishers ya Dar es Salaam.
Maandalizi ya utayarishwaji wa kitabu hiki umeanza miaka miwili iliyopita kwa usaidizi wa karibu wa marehemu Askofu Moses Kulola.
Taarifa ambazo zimethibitika uzinduzi huo ambao utajumuisha maaskofu, viongozi wa serikali na wana injili wote Tanzania nzima utafanyika Dar es Salaam tarehe 9/3/2014. chini ya Matokeo Publishers. Jiandae kujipatia kitabu hiki. Maelekezo ya maeneo yapi uzinduzi huu utafanya utafahamishwa mapema katika Blog hii ya ELM