Makumi ya wananchi wafunguliwa kwenye mkutano wa Injili wa OYES 2017 (Open Your Eyes and See-Fungua Macho Yako na Uone) kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza.
Mwanzo 28:16-17;(Genesis 28:16-17)
Kweli bwana yupo mahali hapa, wala mimi sikujua..
Mahali hapa panatisha kama nini, bila shaka hapa ni nyumba ya mungu....