Mchungaji wa Kanisa la "EAGT Lumala Mpya International Church" lililopo Sabasaba Jijini Mwanza, Dkt.Daniel Moses Kulola na Mama Mchungaji, Mercy Daniel Kulola, kwa niaba ya waumini wote, wanakutakia Sikukuu njema ya mwaka mpya wa 2017, uwe mwaka wenye Baraka tele kwako, Amen!