Waumini wa Kanisa la EAGT LUMALA MPYA Jijini Mwanza, wakipata mahubiri, maombi na mafundisho ya mchungaji wa kanisa hilo, Dkt.Daniel Moses Kulola, katika ibada za jana jumapili, Novemba 13,2016.
Mtumishi huyu amefanyika...
Mtumishi huyu amefanyika Baraka
kwa watu wengi kwani Mungu amekuwa akimtumia vyema kupitia mahubiri na
mafundisho yake hivyo hakikisha unafika kwenye huduma za Kanisa la EAGT
Lumala Mpya lililopo Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza.
Wengi wamebarikiwa kupitia huduma za Mchungaji Dkt.Kulola, wameponywa, wamefanikiwa katika shughuli zao na hakika nguvu ya Kristo inazidi kuonekana ndani ya Kanisa la EAGT Lumala Mpya.
Vijana waliokoka na wenye ari ya kumtumikia Mungu kwa nguvu zote ambao ni zao la kanisa la EAGT Lumala Mpya.
Bonyeza HAPA Kwa Habari Zaidi