Social Icons

Featured Posts

Monday, 25 December 2017

Kanisa la EAGT Lumala Mpya Mwanza Lafurahia Sikukuu ya Krismasi 2017

Ibada Maalumu ya Krismasi yanoga Kanisa la EAGT Lumala Mpya

Waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo nyuma ya Soko Kuu Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza, chini ya Mchungaji Kiongozi Dkt.Daniel Moses Kulola wameungana pamoja kusherekea ibada ya Krismasi kanisani hapo hii leo jumatatu Disemba 25,2017.
Ibada imekuwa ya kuvutia na baadaye imefuatiwa na chakula cha mchana. Fuatilia ilivyokuwa.
Bonyeza HAPA kwa habari zaidi

Sunday, 24 December 2017

Salamu za Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya 2018 kutoka Kanisa la Lumala Mpya

Ni jumatatu Disemba 25,2017 ambapo Wakristo kote duniani wanaungana pamoja kusherekea Sikukuu ya Krismasi ambayo ni kuzaliwa kwa Yesu Kristo zaidi ya miaka 2000 iliyopita.

Karibu kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo nyuma ya Soko Kuu la Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza kupata salamu za Krismasi na mwaka mpya 2018.

Salamu za Krismasi na Mwaka Mpya kutoka kwa Mchungaji Daniel Kulola

Salamu za Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya 2018 kutoka kwa Mchungaji Dkt.Daniel Moses Kulola wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo nyuma ya Soko Kuu la Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza.

Salamu za Krismasi na Mwaka Mpya kutoka kwa Mchungaji Mercy Kulola

Salamu za Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya 2018 kutoka kwa Mchungaji Mercy Kulola wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo nyuma ya Soko Kuu la Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza.

Tuesday, 12 December 2017

Anayedai Kusababisha Ajali ya Daladala Ziwa Victoria AokokaIkiwa ni miezi miwili sasa imepita tangu ajali hiyo mbaya itokee, mtu mmoja ameibuka na kukiri yeye na wenzake kusababisha ajali hiyo ambapo lengo ilikuwa kumchukua mshirika mwenzao aliyewasaliti aliyekuwa kwenye gari hiyo.

 

Sample text

Welcome note

Dear our Brethren in Jesus Welcome to our website. We are so glad that you have chosen to visit our site. On this site you will be able to know us, our values and challenges as a church family, activities and our weekly and even Yearly program and what the Lord is doing through us here in EAGT Lumala mpya church , Mwanza, Tanzania. Our prayer is that as you browse through this website, the Lord will speak to you so that you may partner with us in prayer and any other way that He may lead you to. Let us join hands as we seek to fulfill the mission and vision that God has given us. Let us redeem the time, before the Lord of times returns. Again welcome. Yours in God’s service, Pastor Dr. Daniel Moses kulola.

Sample Text

 
Blogger Templates