Pastor Dr. Daniel Kulola ambaye Mungu amembariki katika kazi hii ya injili Tanzania na nje ya nchi amekuwa akipata mialiko Mingi sana lakini katika hiyo imetokea sasa kupata mlango kwa nchi ya marekani
Alikwenda Dec 2013 na kurudi Feb 2014 kwa huduma na kufanikiwa kuhudumu kwenye majimbo mengi km Boston Massachusetts, Washington Dc, Alabama Birmingham na Texas na kwingine kwingi, haikuishia hapo mwezi wa Tano alipewa na mwaliko wa kurudi huko kipindi hicho aliambatana na waimbaji marafiki zake kama Masanja mkandamizaji na Christina Shusho.
Huduma ilikuwa ya mafanikio makubwa sana kwani wengi wamemrudia Mungu na kufunguliwa katika mahitaji yao.
Sasa Mchungaji Kulola kaitwa tena kuanzia 2/9 hadi 16/10 atakuwa akitembelea majimbo mengi ya marekani akianzia Alabama Birmingham na kufuatia washington Dc anaambatana na timu hiyo hiyo bila kukosa mke wake mpenzi Mercy
Wakati ofisi inaongea na mchungaji Kulola alibainisha kuwa huu ni wakati wa kumfanyia Mungu kazi na siyo kukaa tu.