Tuesday, 24 June 2014

PASTOR KULOLA NA MASANJA MKANDAMIZAJI SAFARINI USA

Pastor Dr. Daniel Kulola ambaye Mungu amembariki katika kazi hii ya injili Tanzania na nje ya nchi amekuwa akipata mialiko Mingi sana lakini katika hiyo imetokea sasa kupata mlango kwa nchi ya marekani
 
Alikwenda Dec 2013 na kurudi Feb 2014 kwa huduma na kufanikiwa kuhudumu kwenye majimbo mengi km Boston Massachusetts, Washington Dc,  Alabama Birmingham na Texas na kwingine kwingi, haikuishia hapo mwezi wa Tano alipewa na mwaliko wa kurudi huko kipindi hicho aliambatana na waimbaji marafiki zake kama Masanja mkandamizaji na Christina Shusho.
Huduma ilikuwa ya mafanikio makubwa sana kwani wengi wamemrudia Mungu na kufunguliwa katika mahitaji yao.

Sasa Mchungaji Kulola kaitwa tena kuanzia 2/9 hadi 16/10 atakuwa akitembelea majimbo mengi ya marekani akianzia Alabama Birmingham na kufuatia washington Dc anaambatana na timu hiyo hiyo bila kukosa mke wake mpenzi Mercy
Wakati ofisi inaongea na mchungaji Kulola alibainisha kuwa huu ni wakati wa kumfanyia Mungu kazi na siyo kukaa tu.













Friday, 20 June 2014

TANGAZO TANGAZO TANGAZO OYES CONFERENCE

                      
                                              
 WAPENDWA WOTE
  SALAAM KATIKA JINA LA YESU KRISTO.
KAMA UNAVYOONA HAPO JUU NAKUKARIBISHA NYOTE KWENYE KONGAMANO KUBWA SANA LA KIMATAIFA LITAKALO FANYIKA HAPA KANISANI
-NYUMA YA SOKO LA SABA SABA LUMALA
KILA SIKU SAA 8 ALASIRI HADI 12.30 JIONI
KUANZIA 22/6/2014 HADI 29/6/2014
WAHUBIRI NI
PASTOR DR. KEN KAMAU KUTOKA KAWANGWARE NAIROBI KENYA
ASKOFU CHARLES MELIYIO TOKA KISERIAN KENYA
PASTOR RASHID NJEJA KUTOKA KAHAMA atatoa ushuhuda
DR. BUSARA MTAALAMU WA UCHUMI NA HISA Atafundisha UCHUMI
CHOIR: KWAYA MBILI TOKA KENYA NA MERCY KEN MWIMBAJI MAARUFU
WENYEJI: UINJILISTI, REVIVAL CHOIR, HOT SPEAR SINGERS, AKRAMA, SHAMAWELE, MLEKWA, NDAGEJI NA PIA TUMEALIKA KWAYA 15 KUTOKA KATIKA JIJI LA MWANZA KAMA MLIMA WA UTUKUFU, GOSHEN, DAWA YA NDOA, BABTIST CHOIR nk
KARIBU SANA BILA KUKOSA NA UFIKE SAA 7.30 MCHANA
0767 749040
 

Sample text

Welcome note

Dear our Brethren in Jesus Welcome to our website. We are so glad that you have chosen to visit our site. On this site you will be able to know us, our values and challenges as a church family, activities and our weekly and even Yearly program and what the Lord is doing through us here in EAGT Lumala mpya church , Mwanza, Tanzania. Our prayer is that as you browse through this website, the Lord will speak to you so that you may partner with us in prayer and any other way that He may lead you to. Let us join hands as we seek to fulfill the mission and vision that God has given us. Let us redeem the time, before the Lord of times returns. Again welcome. Yours in God’s service, Pastor Dr. Daniel Moses kulola.

Sample Text

 
Blogger Templates