Saturday, 30 December 2017
Monday, 25 December 2017
Ibada Maalumu ya Krismasi yanoga Kanisa la EAGT Lumala Mpya
Waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo nyuma ya Soko Kuu Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza, chini ya Mchungaji Kiongozi Dkt.Daniel Moses Kulola wameungana pamoja kusherekea ibada ya Krismasi kanisani hapo hii leo jumatatu Disemba 25,2017.
Ibada imekuwa ya kuvutia na baadaye imefuatiwa na chakula cha mchana. Fuatilia ilivyokuwa.
Bonyeza HAPA kwa habari zaidi Ibada imekuwa ya kuvutia na baadaye imefuatiwa na chakula cha mchana. Fuatilia ilivyokuwa.
Sunday, 24 December 2017
Salamu za Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya 2018 kutoka Kanisa la Lumala Mpya
Ni jumatatu Disemba 25,2017 ambapo Wakristo kote duniani wanaungana pamoja kusherekea Sikukuu ya Krismasi ambayo ni kuzaliwa kwa Yesu Kristo zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
Karibu kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo nyuma ya Soko Kuu la Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza kupata salamu za Krismasi na mwaka mpya 2018.
Karibu kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo nyuma ya Soko Kuu la Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza kupata salamu za Krismasi na mwaka mpya 2018.
Salamu za Krismasi na Mwaka Mpya kutoka kwa Mchungaji Daniel Kulola
Salamu za Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya 2018 kutoka kwa Mchungaji Dkt.Daniel Moses Kulola wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo nyuma ya Soko Kuu la
Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza.
Salamu za Krismasi na Mwaka Mpya kutoka kwa Mchungaji Mercy Kulola
Salamu za Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya 2018 kutoka kwa Mchungaji Mercy Kulola wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo nyuma ya Soko Kuu la Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza.
Tuesday, 12 December 2017
Anayedai Kusababisha Ajali ya Daladala Ziwa Victoria Aokoka
Ikiwa ni miezi miwili sasa imepita tangu ajali
hiyo mbaya itokee, mtu mmoja ameibuka na kukiri yeye na wenzake kusababisha
ajali hiyo ambapo lengo ilikuwa kumchukua mshirika mwenzao aliyewasaliti
aliyekuwa kwenye gari hiyo.
Subscribe to:
Posts (Atom)